BASIC CERTIFICATE IN COSMETOLOGY (USUSI NA UREMBO)

BASIC CERTIFICATE IN COSMETOLOGY (USUSI NA UREMBO)

Sifa: Mtu yeyote mwenye ndoto ya kujiajiri au kuajiriwa kwenye biashara ya ususi, urembo na mitindo.
Muda wa kozi: Miezi 6 na kuendelea
Unaweza kujiajiri katika biashara ya kuuza vipodozi, kusuka mitindo mbalimbali pamoja na kupamba maharusi na watu mashuhuri. Sekta hii inakua kwa kasi na haina kikomo kwani kila kuitwapo leo binadamu anahitaji kujiweka nadhifu. Ili kua mwanamitindo bora, msusi mahiri na mfanya biashara mwenye ueledi na kazi yake, unahitaji kujiunga na Chuo bora cha Ususi na Urembo Arusha – Noble Trust College. Sekta hii ni Sekta inayokua kwa kasi na mitindo hubadilika mara kwa mara hivyo unawahitaji walimu wabobezi watakaokufundisha kua mbunifu na kwenda na wakati. Mfumo wetu wa kufundisha utakufanya kwenda na wakati kwa kukuongezea mbinu na maarifa ya ubunifu.

APPLY NOW IN NOBLE COLLEGE

1 Step 1
keyboard_arrow_leftPrevious
Nextkeyboard_arrow_right
FormCraft - WordPress form builder
Scroll to Top